Kwa sasa kinachofanyika upande wa serikali ni kutengeneza mazingira ya kuwa na bargaining power kwenye kile kinachopangwa kuitwa muafaka/maridhiano/suluhu ya kitaifa.
Moja ya karata itakayowekwa mezani ni suala la serikali kuwaachia huru watuhumiwa wote wa uhaini hewa waliokamatwa kwenye...
https://youtu.be/w4PaC1WPzZ8?si=wfc9MTlpEQMULdIC
Amesema haya:
1. Vijana ni lazima wasikilizwe na wasipuuzwe asilani kuanzia sasa
2. Ashangaa alichodhani hakiwezi kutokea Tanzania kimetokea, kwamba watu hususani vijana wanaweza kuandamana kuipinga serikali na utawala uliopo
3. Ameshauri way...
Habari watanzania
Bila kupoteza muda ningependa niende moja kwa moja kwenye mada ninayotaka kuongolea.
Kila mmoja nadhani atakubaliana nami kwamba swala la NO REFORMS NO ELECTION limeibua hisia tofauti akilini mwa watu,
Kiuhalisia mjadala wa NO REFORMS NO ELECTION si jambo dogo kwa kuwa ni...
Bila shaka wewe na mimi tumekuwa ni sehemu ya Ushuhuda wa Kauli mbali mbali za Viongozi wa Chama Wakijinasibu kuwa Chama Chetu ni Chama Tajiri na Chenye Wanachama Wengi.
Halikadhalika tumeshuhudia chama chetu kikiwa ni sehemu ya Mnufaika mkuu wa Ruzuku ya Uendelezwaji wa Maendeleo ya Chama, si...
GWAJIMA KADA WA CHAMA ALIYEAMUA KUJIHATARISHA KUOKOA NCHI YAKE
Askofu Gwajima siku ya jana alitoa ushauri kwa mamlaka za kiserikali kutokana na sakata la utekaji lililozidi sana nchini kwa sasa. Katika hotuba yake ya lisaa limoja, Askofu Gwajima amenukuliwa akisema utekaji sio utamaduni wetu...
Siku chache zilizopita nilikuwa na fikra za kuwaona Wakenya kama ni ndugu wa Watanzania. Lakini nimebaini nyie sio ndugu wala hatupaswi kuambatana nanyi abadani.
Tanzania ni Jamhuri inayojitegemea na ina utaratibu wake wa kujiongoza. Hatuna unasaba wa kupeana maelekezo ya nini tufanye kwa tamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.