Ukienda Dodoma, miradi mingi inatekelezwa na Kampuni ya Suma JKT. Na wanafanya miradi ile kwa kulipwa mabilioni ya fedha.
Wana Kampuni ya Maji ya Uhuru ambayo inatengeneza maji na kuuza kwa kiwango kikubwa sana. Kwenye shughuli karibu zote za Serikali maji yanayogawiwa ni ya Kiwanda cha Maji...