Nauliza kwanini ema ulishindwa kuwapatanisha Gambo, na Makonda kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni?
Alishindwa kuwaita na kuwapatanisha mbona mikoa mingine walifanikiwa kufanya hivyo?
Kwanini CCM ndio imeleta uadui mkubwa kwa vijana Hawa? Nini hatima ya VIZAZI vyao?
Juzi Nchimbi alikuwa...
Mbunge anayemaliza muda wake wa jimbo la Arusha mjini na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa huo Mrisho Gambo @mrisho_gambo amechukua tena fomu ya kuwania nafasi ya kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi @ccmtanzania kuwa Mgombea wa Ubunge wa Jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania utakaofanyika baadae...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili kwenye ukumbi wa AICC kwa ajili ya kushiriki Kongamano la wanawake kama mgeni rasmi, leo Juni 24, 2025.
Balozi Dkt. Nchimbi amepokelewa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, pamoja na...
"Wangapi mlienda kwenye mkutano soko kuu? mlisikia maneno aliyoyapiga mke wangu? baada ya pale walienda kumsimamisha kazi na sasa yupo nyumbani ana amani kabisa na yupo tayari akiambiwa achague kazi au mume wake atachagua mume wake. Wanasema hana vigezo tukaulizana vigezo hana baada ya kuongea...
Vita ya makonda na Gambo inaendelea kupaba moto huko Arusha, Makonda adai dalili mojawapo ya umasikini ni fitina na majungu.
Yanini kupanda fitina, fitina, fitina huu ushirikina mtaacha lini jamani? Sababu unajua dalili mojawapo ya umasikini ni majungu, fitina, yani ukikuta sehemu kuna fitina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.