Wakuu,
Akiwa anazungumza leo kwenye mkutano wake na waandishi wa habari John Mrema alisema kuwa makada waliosaini waraka wa G55 wanatishiwa na maelekezo yameshafika hadi matawini kuwa wafukuzwe:
"Kuna utamaduni mpya umeanza kuonekana ndani ya CHADEMA siku za hivi karibuni, moja ni kuhusu...
Wakuu,
Siku ya leo, kada maarufu wa CHADEMA John Mrema ambaye siku chache nyuma alitoa msimamo wa kupinga msimamo wa CHADEMA wa No Reforms No Elections kupitia kikundi cha G55, anatarajiwa kuzungumza na wanahabari.
Bado haijajulikana ataenda kuongea nini, kama bado atashikilia uamuzi wake wa...
Mbunge wa zamani wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea ameyasema hayo akihojiwa na Wasafi FM. Amesema Si kwamba wanatoka Kaskazini sijui Tanga, ila ni Arusha na Kilimanjaro. Ameongeza kuwa G55 ni watu wa Mbowe na bado hawajakubali kama wameshindwa ndio maana wanafanya uhuni.
Pia soma >...
Kwasababu uongozi wa Lisu hakubaliki kwa wanachadema na agenda zake za kuwatenga wanachadema na michakato ya kidemokrasia, zinapingwa na wanachadema wengi kuelekea uchaguzi mkuu wa October.
Na ndio maana unaona amekamatwa na polisi na hakuna mwanachadema anaeshtuka, anaesikitika wala kubabaika...
Nimeshangazwa kuwa andiko lenyewe kumbe lilikusudiwa liwe ni kwa ajili ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, lakini limekuwa ni nyaraka kwa umma (Public document)
Kwa mujibu wa andiko lenyewe, ni kwamba kundi la watu 55 liliandika barua hiyo kwenda kwa Katibu baada ya kuingia hofu kwamba maoni yao...
Waliosema muda ni mwalimu mzuri wala hawakukosea, wakati wa mchakato wa kumpata mwenyekiti wa Chadema sikutaka Lisu ashinde niliunga mkono Mbowe atosha.
Lakini kama unavyojuwa muda sasa unaongea kumbe siasa za maridhiano ni mradi wa watu wachache chamani huku Watanzania wengi wakiendelea...
Bado nitaendelea na msimamo ule ule wa CHADEMA kuwafuta uanachama, wanachama wanaotaka kukwamisha mipango ya chama.
Kama ningekuwa sehemu ya maamuzi ya CHADEMA, ningeshauri wajibiwe hoja zao zote kwa maandishi, na baada ya hapo utaratibu wa kuwasimamisha uanachama uanze mara moja.
CHADEMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.