g55 kuhamia chaumma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    PreGE2025 Video: Wananchi waungana kuwazomea CHAUMMA kwenye mkutano wao wa Serengeti. Washangilia "No Reforms No Election"

    Wakuu, Nadhani at this point CHAUMMA ingehairisha mikutano yake ikajipange upya. Ni aibu sana mpaka wananchi wanafikia point ya kuwazomea mikutanoni. Yaani machoni mwa wananchi hiki chama kinaonekana ni cha Wasaliti na Watu Wasiojitambua. Aibu gani hii?
  2. Just Pray

    PreGE2025 Video: Maoni ya Wananchi sakata la G55 kuhamia CHAUMMA, mmoja asema 'walizoea kula kwa mirija Lissu na Heche wameikata'

    Wakuu, hapa nimewasogezea video ambayo wananchi wanatoa ya moyoni Sakata zima la waliokuwa viongozi CHADEMA kuhamaia CHAUMMA, ambapo wamewalaumu viongozi hao kukosa msimamo thabiti wa kupigania maslahi ya wananchi bali matumbo yao binafsi
  3. Cute Wife

    PreGE2025 CHAUMMA yapokea rasmi baadhi ya G55 walioondoka CHADEMA

    Wakuu, CHAUMMA inapokea wanachama wapya wakati huu kutoka G55 https://www.youtube.com/live/F2vujXgaQ8I?si=JXMwKc7Puisgjq6K Catherine Ruge, Mrema na wengine baada ya kupewa kadi ya uanachama wa CHAUMMA na kuwa wanachama rasmi wa chama hicho, waandishi wa habari wametoka nje kuwapisha CHAUMMA...
  4. Mindyou

    PreGE2025 Mwananchi wafichua viongozi watatu wa CHADEMA waliohudhuria mkutano wa kamati kuu na wanaotarajiwa kujiunga CHAUMMA

    Wakuu, Mwananchi wamevujisha majina ya baadhi ya makada ambao wameonekana kwenye mkutano wa kamati kuu na Halmashauri Kuu. Baadhi ya wanachama waliokuwa CHADEMA waliokuwepo kwenye kikao hicho ni pamoja aliyegombea Uenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema Taifa (Bavicha), Masoud Masoud...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Hashim Rungwe: Waliojiondoa CHADEMA bado hawajafika CHAUMMA

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikiendelea kukumbwa na mtikisiko wa ndani, mamia ya wanachama wake wanaripotiwa kujivua uanachama, huku wakihusishwa na mpango wa kujiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kikiwa miongoni mwa vyama 19 vilivyosajiliwa rasmi nchini...
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Lema: G-55 wanaondoka kwasababu CHADEMA ni Chama cha Upinzani siyo Chawa

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Godbless Lema akiongea na wananchi wa Mkoani Mwanza hapo jana Mei 12 katika ziara yao ya "Bila mabadiliko hakuna Uchaguzi" ameeleza kuwa "Wanaondoka kwasababu Mungu anaipenda Chadema, Chama hiki kwasababu ni cha Upinzani lazima...
  7. Dalton elijah

    PreGE2025 CHAUMMA Imefungua Milango kwa kina Kigaila

    kujiunga na chama chetu,” alisema Kabutali katika mazungumzo maalum na Nipashe Digital. Aliongeza kuwa wanaendelea na maandalizi kuelekea Juni 27, 2025, ambapo tutatangaza majina ya wagombea wetu wa Urais, Ubunge na Udiwani. CHAUMMA ambaye hakutaka jina lake litajwe, alikanusha taarifa...
  8. Erythrocyte

    G55 hawakutakiwa kumung'unya maneno walipaswa kutangaza kuhamia CCM kama walivyotumikishwa tangu awali

    Sijui kwanini Kigaila anadanganya umma kwamba hawana pa kwenda wakati kila kitu kiko wazi. Tangazeni Kuhamia CCM kama mlivyoelekezwa, Kigugumizi kinatoka wapi? Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana, Haiwezekani mng'ang'anie kuwa wajumbe wa sekreterieti milele, huu ni udhaifu mkubwa sana...
  9. Cute Wife

    PreGE2025 Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani

    Wakuu, Haya ndio yanayohuma huko kuwa G55 mpango wao ni kuhamia CHAUMA kwa madai ya kuwa waahidiwa majimbo 20 na pia wamekuwa wakizunguka kushawishi wengine kujiunga nao kwenda chauma kwa ahadi inayosemekana ya milioni 90 per kichwa. Nadhani tumeanza kuona viongozi mbalimbali kama wenyeviti...
Back
Top Bottom