Ndugu wa Jamii forums naomba tujuzane fursa za biashara ndani ya Africa kuna mtu alinambia Madagascar kunafursa kubwa ya bishara ya nafaka kwani nchi hiyo hawana elimu ya kutosha kwenye swala la kilimo kwa yoyote anaejua kuhusu Madagascar anaweza kushare chochote tukajifunza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.