fursa jf

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Niingie chimbo gani Leo nipate Hela?

    Wakuu naombeni ndoano nivue samak mwenyewe Nipeni wazo niingie chimbo gani nipate Hela walau hata mkono uende kinywani Kodi inaisha, biashara ndo imekufa hivo. Nawaza na kuwazua wapi ntapata ela ya kulihudumia tumbo langu! Nipo dar es salaam
  2. Usaili Shirika la MSF - Doctors without borders

    Habari humu ndani. Naomba kujuzwa kwa wenye uzoefu na wanaojua maswali yanayoulizwa kwenye interview za AJIRA MSF. Shirika hili kwa pale Liwale linajishughulisha na mradi wa Afya ya Mama na Mtoto, sasa pia ningependa kuuliza Je maswali yao katika usaili wao yatahusisha tu Afya ya mama na...
  3. Consultant Citizenship and Leadership Academy Content Developer at JamiiForums (October, 2024)

    DEADLINE EXTENDED Position: Consultant needed for Citizenship and Leadership Academy Content Development JamiiForums, in partnership with WiLDAF via the USAID's Wanawake Sasa Project, is seeking a Content Development Consultant to create engaging, inclusive training modules and promotional...
  4. Consultant Citizenship and Leadership Academy (CLA) Software Developer at JamiiForums October, 2024

    DEADLINE EXTENDED! Position: Consultant Citizenship and Leadership Academy (CLA) Software Developer JamiiForums, in partnership with WiLDAF and Her Initiative, are looking for a highly skilled Software Developer for USAID-supported Wanawake Sasa Project. This consultancy aims to create an...
  5. 5

    Kupata Ajira mpaka utoe Ujira

    kwema humu? kwa dunia ya sasa kupata kitu mpaka utoe kitu wazee.
  6. K

    Msichana mjasiriamali na mhitimu wa Uhasibu. Natafuta kazi naomba mnisaidie

    Habari wakuu, Mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo 2024 ya Uhasibu na Biashara (Bachelor in Accounting ). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali wa kuuza vipodozi na nguo za kike hadi hivi juzi juzi nilipohitimu. Nipo hapa hapa Dar es Salaam...
  7. Ndugu zangu naomba kusaidiwa kazi ili niweze kujikimu. Napatikana Butiama mkoani Mara

    Habari wakuu Najitokeza kuomba ajira yoyote tofauti na professional,nimehitimu shahada ya utawala wa umma( public administration) mwaka 2018 mpaka sasa nimetimiza miaka 6 nipo mtaani Naomba mwenye nafasi anisaidie,umri wangu miaka 32 napatikana Butiama mkoani Mara.
  8. Niko posta natafuta kazi yeyote. Naishi Magomeni

    Naomben mwenye kunisitil anisitili ndugu zangu. Pakuishi ninapo lakin sina kazi ndugu zangu Naombeni mwenye kunisaidia anisaidie kazi yeyote tu Asanten sana MUNGU AWABARIK SANA Mara nyingi nakuwa niko ST Joseph nikipiga Ibada
  9. A

    Nafuta ofisi ya kufanyia field management of social development

    Mi naomba kuuliza wakuu ,hivi mfano course ya Bachelor Degree in Management of Social Development ni ofisi zipi unaweza kufanyia field practice
  10. Wakuu naombeni msaada wa connection ya kibarua

    Natumai mko wazima. Mimi ni kijana wa kitanzania, nina shahada ya Usimamizi wa Manunuzi na Mnyororo wa Ugavi (Procurement and Supply Chain Management) pamoja na cheti katika matumizi ya kompyuta (VETA). Ninaandika kutafuta nafasi ya kazi ambayo itanipa fursa ya kutumia maarifa yangu na ujuzi...
  11. L

    Natafuta kazi au kibarua chochote kahama

    Habari zenu wana JamiiForums Naomba mnisaidie natafuta kazi yoyote kahama kama kuna mtu anamtafuta mtu wa kumsaidia kwenye kazi zake kama kuuza duka au kwenye restaurant kazi kama hizo naweza na ni mchapa kazi na muamifu na nmesoma pia nna diploma ya account Jinsia -Mwanamke Umri-24
  12. Project Accountant at TWCC September, 2024

    Job type: Full-time TITLE: Project Accountant (1 Position) Organization: Tanzania Women Chamber of Commerce (TWCC) Duty Station: Dar es Salaam Type of Contract: Full Time Reporting To: Finance & Administration Manager Appointing Period: 3 years Starting Date: October 2024...
  13. Direct Sales Staff (300 Positions) at NMB Bank September, 2024

    Job type: Full-time Direct Sales Staff ( Fixed Term – 3 Years ) (300 Position(s)) Job Purpose: Support in driving retail sales objectives of the bank through day-to-day customer visits and selling bank products and services to new and existing customers, while deepening existing customer...
  14. Laboratory Supervisor at Médecins Sans Frontières September, 2024

    Job type: Full-time JOB VACANCY – LABORATORY SUPERVISOR Title: Laboratory Supervisor Duration: 12 months (Fixed Term Contract) – Full time position (100%) Direct Reports: Project Medical Referent. Location: Nduta Camp and Kibondo (Kigoma Region) FOR NATIONAL STAFF ONLY...
  15. Nursing Activity Manager at Médecins Sans Frontières September, 2024

    Job type: Full-time JOB VACANCY – NURSING ACTIVITY MANAGER Title: NURSING ACTIVITY MANAGER Duration: 12 months...
  16. Medical Activity Manager at Médecins Sans Frontières September, 2024

    Job type: Full-time JOB VACANCY – MEDICAL ACTIVITY MANAGER Title: Medical Activity Manager Duration: 12 months (Fixed...
  17. Health Volunteer – Receptionist at CCBRT September, 2024

    Vacancy: Health Volunteer – Receptionist Ref: 2024-18 Job type: Full-time Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania (CCBRT) aims to be the preferred provider of accessible specialized health services in Africa. It serves – as a healthcare social enterprise and through...
  18. Principal Relationship Officer I ( Senior Manager Branch Sales zone) at TCB Bank September, 2024

    Job type: Full-time ABOUT US: Tanzania Commercial Bank is a Bank that provides competitive financial services to our customers and creates value for our stakeholders through innovative products with a vision “to be the leading bank in Tanzania in the provision of affordable, accessible and...
  19. Assistant Treasury Accountant at Precision Air September, 2024

    Job type: Full-time ASSISTANT TREASURY ACCOUNTANT (1 Position(s)) Responsibility: Perform routine accounting task e.g. posting process, data entry, posting of ledgers and preparation of voucher. Where assigned cashier duties to ensure all company money is received and receipted and that the...
  20. Supplies Officer at Kairuki University (KU) September, 2024

    Job type: Full-time KAIRUKI UNIVERSITY VACANCY ADVERTISEMENT Applications are invited from suitably qualified and experienced Tanzanians to fill the position of Supplies Officer at Kairuki University (KU). Summary Description: Responsible for purchase of goods or services that meet the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…