Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amemhakikishia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwa hali ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) ipo shwari licha ya tukio dogo lililojitokeza usiku wa kuamkia jana.
Amesema kuwa majira ya saa 12 jioni, kulijitokeza kikundi kidogo cha watu...