freedom of expression

The Constitution of India provides the right of freedom, given in article 19 with the view of guaranteeing individual rights that were considered vital by the framers of the constitution. The right to freedom in Article 19 guarantees the freedom of speech and expression, as one of its six freedoms.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Ahukumiwa kifungo cha mwaka 1 jela kwa 'kutukana' viongozi wa Serikali kupitia mtandao wa TikTok

    Mahakama ya Mwanzo Mbeya mjini imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja (miezi 12) jela Ramadhan Ludabuka (19) DJ na Mkazi wa Patamela Wilayani Chunya kwa kosa la kusambaza maudhui yasiyofaa katika mtandao wa TIKTOK. Hukumu hiyo imetolewa mbele ya Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Mbeya mjini Ayubu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mpendekeze Maxence Melo kushinda Tuzo ya Haki za Binadamu 2026 ya Ubalozi wa Uholanzi (Embassy Tulip Award Tanzania)

    Wakuu, Kazi na mchango wa Mwanzilishi wa JamiiForums, Maxence Melo, katika kutetea Uhuru wa Kujieleza (Freedom of Expression), Haki za Kidigitali (Digital Rights), na kuendeleza Nafasi ya Uraia (Civic Space) nchini ni vitu vinavyojieleza vyenyewe. Ubalozi wa Uholanzi nchini Tanzania umefungua...
  3. JamiiForums Tanzania Siku ya Mitandao ya Kijamii Duniani Juni 30, 2026: Mwenendo wa Matumizi ya Mitandao ya Kijamii Tanzania, tuna hali gani?

    Siku ya Mitandao ya Kijamii Duniani inayoadhimisha Juni 30 ya kila mwaka, ilianzishwa na mtandao wa Mashable mnamo mwaka 2010, adhimisho hili la kimataifa linaangazia mapinduzi makubwa yaliyofanywa na mitandao ya kidijitali kwenye mifumo ya mawasiliano, biashara, na utamaduni. Taarifa Muhimu...
  4. JamiiForums Tanzania Moderators achieni account ya Kimbesa where is the freedom of expression

    Huyu kimbesa amepotea muda mrefu sana it seems account yake mmeiblock moderators. Mara ya mwisho niliona Mshana Jr anampa onyo la kumfungia account yake. Punde si punde account ikasizi. Uccm wake usimkoseshe uhuru wa kutoa maoni yakr Please adhere with principles of freedom of expression
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Mitandao ya YouTube, TikTok na Signal imeliwa kichwa kama X na Telegram. Facebook, Instagram na WhatsApp kufuatia?

    Wakuu, Mpaka sasa motandao ya Youtube, TikTok na Signal imeliwa kichwa, haipatikani mpaka utumie VPN, yote hii ikiwa ni kuzuia wananchi kupata taarifa wakati muhimu kabisa wa uchaguzi ambao wananchi wana haki na wanastahili kupata taarifa kujua kinachoendelea katika siku muhimu inayoenda...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania Silences Social Media Ahead of October 29 Elections to Curb Youth Protests

    The Tanzanian government has imposed sweeping internet restrictions on major social media platforms, effectively blocking access to TikTok, Instagram Live, X (formerly Twitter), and local forums in a calculated move to disrupt online youth mobilization on the eve of tomorrow’s general elections...
  7. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais, nitatenga maeneo watu watakuwa wanaongea chochote kile wanachojisikia kama mkakati wa kuhakikisha freedom of expression ni kubwa

    Mimi katika mambo ambayo siyapendi ni kutumia nguvu kubwa kumziba mdomo mwingine asiongee jambo nisilolipenda, bata huku jamiiforums napenda wale wanaokosoa na kamwe siwezi waweka kwenye ignore list Mimi ni mtu ambaye niko comfortable kwa wale wanaonikataa, na kunipinga sababu naamini wanahaki...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yesu hakuwatukana Watawala. Hata aliposikia Yohana amekatwa kichwa, alinyamaza. Kwanini?

    Yesu alipokuwa duniani, nchi aliyokuwa akiishi ilikuwa chini ya utawala wa Dola ya Kirumi. Wakati Yesu anazaliwa, Herod the Great, ndiye aliyekuwa Mtawala. Huyo ndiye aliyeamuru watoto wa Bethlehemu wauawe ili Yesu aangamie. Baadaye alitawala Herod Antipas, Mwana wa Herod the Great. Huyu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Waumini 84 wa Gwajima waliokuwa wamekamatwa waachiwa kwa dhamana, 2 bado wanashikiliwa na polisi

    Waumini wamejua kuonesha umoja ambao watanzania wengi tunakosa, inabidi tuchukue mfano huu kutoka kwao. Maelfu kwa maelfu tukikemea uonovu wataweza kukamata nchi nzima? ==== Wakili wa utetezi wa Kanisa la Ufufuo wa Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, Peter Kibatala amesema waumini...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video za Askofu Gwajima zafutwa Youtube

    Umuofia Kwenu wana JF, Nimejaribu kupitia link karibu tatu zilizorusha Stream ya Askofu Gwajima ,Zote zimefutwa. Pia soma: Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
  11. X

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bila VPN hauwezi kuingia X (Twitter) Tanzania. Vipi huko mnaotumia Facebook na Instagram?

    Ndio nashtuka now kila nikijaribu kuingia X inagoma nikasema ngoja nijaribu na vpn imooo! Wajuvi wa mambo tujizeni nini kinaendelea?
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gerson Msigwa aweka bango la “Uchochezi” kwenye taarifa ya Mwananchi ya njia 4 kufungwa Dar sababu ya mgogoro DRC

    Wakuu, Msigwa kaamua kuchagua vayolensi na kusema Mwananchi imefanya uchochezi kwa kusema barabara 4 Dar zimefungwa kwa muda sababu ya mgogoro wa DRC na M23. Pia soma: Pre GE2025 - Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna uhuru wa kutosha katika utekelezaji wa majukumu yao...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Musiba alihoji Sarungi na Kabendera wangekuwa Rwanda au Uganda wangeachwa waichafue serikali? Maneno yake yamefanyiwa kazi?

    Wakuu, Katika mahojiano aliyofanya siku tano zilizopita Musiba alisema kuna vikundi ambavyo angependa kuishauri serikali ya Tanzania kwa jicho la tatu, kwani si wema na wameanza harakati za kuchafua na kuharibu taswira ya nchi yetu, ambapo kuna makachero wanaoshirikiana nao ili kukamilisha...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 XSPaces nayo imepigwa pini, hakikisha una VPN kwenye kifaa chako yasije kutokea ya 2020 ukiwa hujajiandaa!

    Wakuu, Ya Clubhouse yanazidi kujitokeza kadri tunavyoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa 2025, ClubHouse ilipigwa pini toka 2023 nadhani (kama sijakosea), Telegram ikafata mkondo huo, na yenyewe ni mara chache sana utaipata bila VPN. Sasa ni XSPaces, huwezi kuhudhuria space sasa hivi mpaka utumie...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hali ya internet ikoje maeneo ulipo? Unaweza kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii bila shida?

    Wakuu salam, Hivi karibuni internet imekuwa changamoto kweli, wakati mwingine unakuwa huwezi kufanya chochote zaidi ya kucheza game. Kadri siku zinavyoenda hali inazidi kuwa mbaya Na hii ni kwenye mitandao yote, unataka kununua umeme unaambiwa mtandao unasumbua, una ka intavyuu ka mtandaoni...
  16. JamiiForums Tanzania Telegram inafanya kazi kwenu ndugu zanguni?

    Naenda wiki sasa Mtandao wa Telegram haufanyi kazi kwangu siingii siwezi kufanya chochote una load tu kama vile sina internet. nimejaribu simu, computer tofauti ila inakataaa, je Hii ni kwangu tu au na wenzangu pia? Mnaotumia hamjaona hili kwenu? Kuna namna naweza fanya nitumie? Msaada kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Tupeane Updates: Hali ya mtandao ikoje mahali ulipo? Shughuli zako zinaenda kama kawaida?

    Wakuu, Hali ya mtandao imekuwa ya kususua tunaenda karibia wiki ya tatu sasa. Ni shida kuingia katika baadhi ya sites kiasi kwamba inabidi utumie vipi. Pia soma: Historia ni mwalimu mzuri, msiseme sikuwaambia! Wale ambao kazi zetu zinategemea uwepo wa mtandao kwa sehemu kubwa zinaathirika...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Historia ni mwalimu mzuri, mtandao umeshaanza kusumbua na sisi tujiweke tayari, hakikisha simu yako haikosi VPN!

    Wakuu salam kwenu, Tumeshuhudia kwenye Uchaguzi wa 2015 JF ilivyopigwa na kitu kizito kwenye suala la mtandao na hivyo kuzuia wananchi kupata taarifa. Tulishuhudia hilo pia kwenye uchaguzi wa 2020 jinsi mtandao ulivyochezewa na 'jini' ikawa changamoto kupata taarifa na wale ambao biashara zao...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha kukamatwa kwa Mwandishi Dickson Ng'hily na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, yasema mwandishi hakupigwa wala kuvunjiwa simu yake

    Wakuu, Haya maelezo yanatishia mashaka, kwamba wanafunzi hawakai chini ila walikuwa wanafanya masahihisho ya mitihani, tena chini ya mti, kama vyumba vinawatosha kwanini wasifanyie hayo darasani? Hapa panatia mashaka. Ila pia mnataka kutuambia kuwa THRDC walikurupuka, kwamba hawakuwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Shadrack Chaula, aliyechoma picha ya Rais Samia aachiwa kutoka Gerezani

    Hatimaye kijana Shadrack Yusuph Chaula (24) mkazi wa kijiji cha Ntokela kata ya Ndanto Tukuyu wilayani Rungwe, ameachiwa huru kutoka mikononi mwa jeshi la magereza baada ya kufanikiwa kulipa faini ya shilingi million tano kutokana na hatia aliyokutwa nayo ya udanganyifu juma lililopita. Kijana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…