frank komba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Refa Frank Komba na mwenzake wafungiwa

    Mwamuzi wa kati Hance Mabena na mwamuzi Msaidizi Frank Komba wameondolewa kwenye orodha ya waamuzi kwa mizunguko mitano ya NBC PL 🇹🇿 kwa kuonyesha mapungufu ya kiuchezeshaji na kushindwa kutafsiri vyema sheria za mpira wa miguu kwenye mechi ya Simba dhidi ya Pamba Jiji. Je, hawa wanastahili...
  2. JamiiForums Tanzania Arajiga, Komba wachaguliwa kuchezesha CHAN 2025

    Marefa wawili wa Tanzania, Frank Komba na Ahmed Arajiga, wamechaguliwa miongoni mwa marefa 65 watakaosimamia mechi za Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) 2025 zitakazofanyika Kenya, Uganda, na Tanzania kuanzia Februari 1 hadi 28, 2025. Ahmed Arajiga Arajiga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…