NAomba kufahamu political status ya hawa waheshimiwa.
1. Job Yuston Ndugai
2. Bashiru Ali
3.Paramaganda Aidan Mwaluko Kabudi
4. Joyce Ndalichako
5.Mzee Mkuchika
7.Dorothy Gwajima.
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Janeth Mtiba (kushoto) leo Jumatatu Juni 30, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge Jimbo la Tarime Mjini.
Janeth amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Tarime, Hamza Adam.
Wakuu,
Yaani CCM ukiwa unapumua tu basi hiyo ni qualification tosha ya kuchukua fomu.
Mjasiriamali na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mboni Masimba amechukua fomu ya kuomba ridhaa kuwania ubunge wa Viti Maalumu kupitia Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Mkoa wa Tanga.
Kiongozi wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Fortunatus Muhalila amechukua fomu ya kugombea ubunge Muleba Kaskazini, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Muhalila amekabidhiwa fomu hiyo leo Juni 29, 2025 na Katibu wa chama hicho, Wilaya ya Muleba, Agness Kasela.
Source: Mwananchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.