fisi simiyu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Fisi waua kondoo 21 Simiyu

    Fisi wameua kondoo 21 huku wengine tisa hawajulikani walipo tukio ambalo limetokea mtaa wa Mahina katika Kata ya Somanda mjini Bariadi mkoani Simiyu. Mageni Maduhu amesema kuwa tukio hilo limetokea jana April 1,2025 nyumbani kwake majira ya saa 5:00 usiku. Anasema kuwa alisikia sauti za...
Back
Top Bottom