Nimeshutushwa sana na kampuni ambayo inawakilisha Fedex Tanzania. Ukituma mzigo wowote kwa Fedex hata barua tu utasumbuliwa sana. Hawa jamaa ukituma mzigo kwa Fedex mfano hata kama mzigo ni wa $50 watajaribu kukuwekea gharama za 500,000 na zaidi.
1. Wenyewe sio TRA kodi zote zinatakiwa ziwe za...