Hii ndio ile inaitwa thubutu kulima utalima kwa kuteseka harafu bei unakuja kupangiwa na madalali wa mjini...tumewakosea nini hawa viongozi wetu, kosa letu sisi kweli ni huu utanzania au kuna jingine...?
Mafao ya kupoteza ajira hutolewa kwa mwanachama wa NSSF aliyepoteza ajira kwa kuachishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.