Polisi polisi na Serikali ya Samia mbona mnazidi kutengeneza chuki zaidi kwa Watanzania, Hivi hivi utasikia Heche haonekani tena au kafungulia kesi nzito ilimradi tu wahodhfishe CHADEMA. Hii si sawa.
==================
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikihoji alipo Makamu...
Nikiwa nafyonza castle light zangu hapa kijiweni kwangu hili wazo limekuja ghafla
Ya mahakamani yanaendaga slow slow kwasababu huko ni kwa wasomi na yakienda huko yanafunga mipaka yote ya kuliongelea swala hilo hivyo hamtakiwi kuliongelea hadi mahakama itoe uamuzi. Haya ndo mambo ya wasomi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.