fainali kombe shirikisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    Video: Simba safarini kuelekea Zanzibar, Hii Tunabeba

    Kikosi cha wekundu wa Msimbazi Simba tayari kimeanza Safari ya kuelekea kisiwani Zanzibar kwenye mchezo wa Fainali ya kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya RS Barkane, Mchezo huo utapigwa Mein25, 2025 katika dimba la New Amaan Complex.
  2. Waufukweni

    Kauli ya Serikali kuhusu Uwanja wa Mkapa kwa mechi ya fainali ya Simba Vs Berkane

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ametembelea na kukagua maendeleo ya ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa na kuridhishwa na hatua ya marekebisho na ukarabati wa miundombinu, ufungwaji wa viti vipya, uboreshaji wa vyumba vya...
  3. CARIFONIA

    Naona kuna timu mashabiki wake wataisusia fainali ya pili la kombe la shirikisho

    Najua mahaba ni makubwa mno kiasi kwamba hawapendi kabisa kuambiwa ukweli, lakini wakati utaongea vizuri. Mechi ya fainali inaishia Morocco na kuna mtu anaenda kula kono la nyani Hii kitu ndio itawatia uvivu kwenda uwanjani mechi ya pili kwani uwezekano wa kupindua meza autakuwepo kabisa...
  4. Majok majok

    Simba kipimo chenu Kombe la Shirikisho ni kufika Fainali na si vinginevyo. Mliwabeza Yanga sasa ngoja tuwaone

    Rasmi, Simba imeangukia Kombe la Shirikisho barani Africa ambalo wenzao Yanga walifika Fainali na kuukosa ubingwa kwa kanuni! Sasa ni kipimo kwa Simba kutuonyesha namna kombe ilo lilivyo jepesi kama walivyokuwa wakiwabeza Yanga ambao walikwenda mpaka Fainali, tunawasubilia kuwaona namna...
Back
Top Bottom