Kulingana na mapendekezo ya Mkurugenzi wa Michezo na tathmini ya jumla iliyofanywa na kamati ya michezo kuhusu hatua ya maandalizi ya msimu huu wa sasa, pamoja na mechi za kwanza rasmi, Klabu ya Raja ya Michezo inatangaza kumalizika kwa mkataba na kocha Bwana Saad Chabi na benchi lake la ufundi...
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram aliyekuwa kocha wa Simba Sc Fadlu Davis amewaaga wanasimba Kwa kuandika...
"Ni kwa moyo mzito naiaga Simba SC. Tangu nilipowasili, nilihisi shauku ya klabu hii kubwa na upendo wa mashabiki wake wa ajabu. Pamoja tulipigana, tukasherehekea, na tukaimarika...
Uongozi wa Simba umempa kocha mechi 1 ya angalizo ambayo ametakiwa kushinda ili kuendelea kubaki klabuni hapo.
Endapo Simba itafanya hivyo, basi zigo la lawama atakuwa akisukumiwa Fadlu kipindi yeye hayupo kila timu ikifanya vibaya.
"Niwe tu muwazi bado Nahitaji Mchezaji mmoja mwenye X Factor kwenye eneo la ushambuluaji, najua tumepata sapoti kubwa Sana kutoka kwa Rais Mo Dewji na mchango wake Msimu huu umekuwa mkubwa Sana"
"Natumai sasa tunapoelekea mwishoni mwa usajili Jayrutty anaweza kutusaidia kumpata Mchezaji huyo...
Kocha mkuu wa Simba amezungumza kuelekea mchezo wa Dabi nakumesema.." Labda watacheza kwa ajili ya sare, labda wataamua kubaki nyuma na kucheza kuipata sare maana bila shaka wakipata sare watakuwa mabingwa, na sisi tunahitaji kucheza kushinda (ili tuwe mabingwa)...
Hivyo utakuwa mchezo wa...
Klabu ya Simba imeadhibiwa kwa kutozwa faini ya Sh. 5,000,000 (milioni tano) kwa kosa la mashabiki wake kurusha chupa za maji uwanjani wakati wa mchezo tajwa hapo juu kwenye uwanja wa KMC Complex Mei 28, 2025.
Adhabu hii ni kwa mujibu wa kanuni ya 47:1 ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti wa Klabu...
Wakuu,
Naomba viongozi wa Simba wamsaidie kocha Fadlu either matured assistant coaches au washauri kumsaidia kujua kucheza game dakika za lala salama.
Pamoja na ubora wake lakini trend ya Simba kuruhusu goli dakika za jioni ndio zimeigharimu Simba game zote muhimu zikiwemo game ya Yanga, Azam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.