ezra chiwelesa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    GE2025 Ezra Chiwelesa: Kuandamana ni kuwanyima wengine Haki ya Kikatiba

    Mgombea Ubunge wa Biharamulo Mhandisi Ezra Chiwelesa amesema kuandamana siku ya kupiga kura ni kosa kisheria maana huko ni kuzuia uchaguzi na pia jambo hilo litafanya kuwanyima wengine haki ya Msingi ya Kupiga Kura.
  2. DuaZaMama

    GE2025 Ezra Chiwelesa amechukua fomu ya ubunge kutetea jimbo la Biharamulo Magharibi

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi Mhandisi Ezra Chiwelesa kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM kwa kipindi Cha 2020-2025 amechukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo hilo kwa kipindi cha pili kama ulivyo utaratibu wa chama hicho. Chiwelesa amesema matumani yake ni kuendelea...
  3. USSR

    GE2025 Eng. Ezra Chiwelesa achukua form kutetea jimbo la biharamulo magharibi baada ya wananchi kumchangia pesa na kumuomba agombee

    Eng Ezra John Chiwelesa amechangiwa na wananchi wa biharamulo ili aweze kugombea tena ubunge wa jimbo la biharamulo magharibi Wakati uwakilishi wake biharamulo imeshuhudia ukuaji mkubwa wa miundombinu na utoa wa huduma za kijamii kwa kasi kubwa . Ujenzi wa barabara za lami za mitaa ,ujenzi wa...
Back
Top Bottom