1: Wewe ndio unakuwa wa kujutia sana umbali wenu.
2: Ninunulie hiki, nifanyie hiki au nipe hiki ndio nikusamehe
3: Amepata mtu mwingine mapema sana tangu mmezinguana
4: Kama ulimfumania au kugundua anatoka kimapenzi na mtu mwingine
5: Kama anategemea mawazo ya rafiki zake kwa asilimia kubwa...
Baada ya kuniacha kwa mbwembwe akijua nitamtafuta, na sikumtafuta; augua presha na kulazwa.
Ndugu na jamaa wakawa wanamuhoji, ''equation x ni nani, na hatutaki tena kumuona akiwa na wewe, ona sasa anavyokuletea matatizo.''
Ndipo mrembo alipoamua kunipigia simu, angalau tu asikie sauti yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.