Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye ameongoza maelfu ya wakazi wa nchi hiyo katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa wabunge na madiwani huku akiwataka Warundi kutorudi katika machafuko ya vita vilivyosababisha raia wengi kukimbia nchi hiyo na watu wengi kupoteza maisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.