Wakuu naona usajili ni kama unaendelea kila sehemu, hatimaye Eugine Kabendera ambaye pia ni miongoni mwa waanzilishi na msemaje wa CHAUMMA ameamua kwenda CHADEMA na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche
Mmoja wa waasisi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Eugene Kabendera ametangaza kujiondoa rasmi ndani ya chama hicho baada ya kulitumikia kwa miaka 13.
Kabendera, ambaye aliwahi kuwa msemaji rasmi wa kwanza wa chama, Naibu Katibu Mkuu wa Tanzania Bara, na Mwakilishi wa CHAUMMA katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.