esther matiko

Esther Matiko (born November 24, 1976) is a Tanzanian politician belonging to the opposition Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) party. She is a Member of Parliament for Tarime Urban.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    PostGE2025 Esther Matiko avutiwa na hotuba ya Rais Samia kukuza Sekta ya Usafirishaji

    Mbunge wa Tarime Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Esther Matiko, amesema hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu sekta ya usafirishaji imebeba dira ya mapinduzi makubwa yatakayochochea kwa kiasi kikubwa ukuaji wa uchumi wa Tanzania. Amesema maboresho yanayoendelea katika Bandari...
  2. R

    Esther Matiko amuuliza mgombea Uspika swali la kizushi, adai hawezi kujibu

    Mbunge wa Tarime Mjini Esther Matiko alipata nafasi ya kumuuliza swali Mgombea nafasi ya Uspika wa bunge la Jamuhuri la Muungano wa Tanzania, Anitha Alfan Mgaya kutoka chama cha National League for Democracy (NLD) ataje aina ya makundi manne ya wabunge wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania lakini...
  3. GE2025 Esther Matiko: Mimi ni CCM hata kwenye majukwaa sijawahi kusema neno ‘CHADEMA’

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Tarime Mjini Esther Matiko amesema mpango wa kuingia Chama Cha Mapinduzi(CCM)alikuwa nao muda mrefu tangu wa wakati wa Serikali ya awamu ya Nne ya Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho kikwete Matiko ameyasema hayo Musoma Mjini Mkoani Mara wakati akihojiwa na Wasafi Media...
  4. T

    GE2025 Tarime Mjini; Mgombea wa ACT-Wazelendo, Jackson Kangoye aenguliwa na INEC kumsaidia Esther Matiko

    Baada ya jitihada za CCM Taifa kumbembeleza Ndugu Jackson Kangoye ajitoe kugombea Ubunge Tarime ili kumrahisishia Esther Matiko kushindikana, Tume ya Uchaguzi isiyo huru imeamua kumeungua mgombea huyo. Esther alimuwekea pingamizi ambalo lilitupiliwa mbali. Na akakata rufaa. Lakini rufaa ya...
  5. T

    GE2025 TARIME MJINI: CCM Makao makuu wanapambana kufanya maridhiano mgombea ubunge ACT - Wazalendo ajitoe kumuokoa Esther Matiko asiyekubalika

    Juhudi kubwa zimefanyika ili wananchi na wana CCM Tarime kumkubali Esther Matiko lakini zimeshindikana. Vilanza vitisho toka kwa Mkuu wa Wilaya dhidi ya watu walioandamana kupinga uteuzi wa Esther Matiko ambayo sio chaguo la wana CCM Tarime mjini. Baadae kikaitwa kikao cha maridhiano kati ya...
  6. A

    GE2025 Esther Matiko aamsha matumaini Tarime Mjini

    Na Brighton Masalu MGOMBEA ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Tarime Mjini, Esther Nicholas Matiko ameonesha dira thabiti ya maendeleo na kufufua matumaini kwa wananchi wa jimbo hilo. Akizungumza na halaiki ya wananchi waliohudhuria kwa wingi mkutano wa kampeni za mgombea...
  7. T

    GE2025 Esther Matiko awekewa pingamizi zito na Jackson Kangoye Tarime mjini

    Mgombea Ubunge jimbo la Tarime mjini kupitia ACT-Wazalendo amemuwekea pingamizi Mgombea wa CCM, Esther Nicholas Matiko pingamizi zito sana. Pingamizi hili kungekuwa na utawala wa sheria Hakika Esther Matiko angeondolewa kuwa mgombea na angeshitakiwa kwa ubadhirifu wa mali za Umma. Soma Pia...
  8. T

    GE2025 Esther Matiko amuwekea pingamizi mgombe wa ACT-Wazalendo Tarime Mjini

    Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini, Esther Nicholas Matiko amemuwekea pingamizi mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Act-Wazalendo Ndugu Jackson Ryoba Kangoye. Ikumbukwe katika kura za maoni kugombea Ubunge ndani ya CCM mwaka 2020 Jackson alikuwa mshindi namba...
  9. GE2025 Esther Matiko atinga mbele za wajumbe kuwashawishi wampitishe kuwa mgombea wa ubunge Tarime mjini

    Mtiania wa ubunge wa Tarime Mjini, Mkoa wa Mara, Esther Matiko akijitambulisha kwa wajumbe wa Chama cha Mapinduzi (CCM) jana Ijumaa, Agosti 1, 2025 kabla ya kura za maoni. Matiko amewahi kuwa mbunge wa Viti Maalumu na mbunge wa Tarime Mjini kupitia Chadema. Kwa sasa anawania breathe hiyo mdani...
  10. R

    GE2025 Esther Bulaya na Esther Matiko wamepenya Mchujo wa kwanza Teuzi za CCM

    Waliokuwa wanachama wa CHADEMA na kisha kuhamia CCM Esther Bulaya na Esther ni miongoni mwa wagombea Ubunge kwenye mchujo wa kwanza Kupitia Chama cha Mapinduzi baada ya kutangazwa leo na CPA Amos Makalla Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo Chama cha Mapinduzi Esther Matiko ni miongoni mwa...
  11. T

    Dharau kwa Katiba na Mahakama: Esther Matiko alikuwa mwanachama wa CCM tokea Julai 2022

    Nimesikitika sana leo kupata taarifa za kadi ya uanachama ya Esther Matiko aliyopokea mwaka 2022. Tukumbuke mwaka huu Esther na wenzake 18 walikuwa mahakamani kupambania uanachama wao wa Chadema. Huku wanakula kiapo mahakamani kama wanachama wa Chadema kumbe mfukoni wana kadi za CCM. Esther...
  12. GE2025 Esther Matiko ni mwanachama wa CCM tokea mwaka 2022, alikuwa bungeni kwa tiketi ipi?

    Kwa yanayofanyika ndani ya nchi kwa sahivi ni aibu sana Copy and paste CCM WAMWANIKA MATIKO Nimesogezewa na mwanaCCM ambaye kachoka kuliko sisi Kaona isiwe shida katoa anachodai ni ushahidi wa usajili wa Esther MatikoDuh! Kumbe Matiko yuko Bungeni kwa kinga ya Tulia Ackson na Mahakama kama...
  13. R

    GE2025 Esther Matiko ataja sababu za kujiunga CCM

    Aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Esther Matiko Jumapili Juni 29, 2025 ametangaza nia ya kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Tarime Mjini kupitia chama tawala, Chama Cha Mapinduzi (CCM) Akizungumza na wanahabari, Matiko kando ya kuwashukuru Watanzania kwa...
  14. PreGE2025 Esther Matiko sasa ni mwanachama wa CCM

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na baadaye Mbunge wa Viti Maalum Esther Nichoulas Matiko amethibitisha kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na anatarajiwa kuchukua fomu ya kukiomba chama chake hicho kipya kumpa ridhaa kuwania Ubunge wa...
  15. M

    PreGE2025 GE2025 Spika Tulia amemhakikishia Esther Matiko ubunge Tarime mjini kupitia CCM

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi. Esther amekuwa mpambe wa karibu wa Mh. Tulia siku za hivi karibuni. Esther anakumbana upinzani mkubwa...
  16. Mbunge ambana Waziri Dabi ya Kariakoo Bungeni

    "...Ligi yetu inaelekea mwisho lakini kumekuwa na mvutano wa hizi timu mbili na Viongozi wa TFF, ipi kauli ya Serikali...." Mbunge wa Makete - Festo Sanga.
  17. Esther Matiko hivi ukiangalia hii video bado una nguvu ya kuongea uliyoongea jana bungeni?

    Askari polisi abakufanyia udhalilishaji hadharani na bado una nguvu ya kuongea uliyoongea jana. Kwa wenzetu hiyo ni kesi kubwa kama mhusika akivalia njuga na anaungwa mkono na mamlaka. Ila wewe sasa. Hii video watakuja kuiona wanao wakiwa watu wazima kisha wataangalia ulizungimza nini!
  18. Mbunge Esther Matiko apendekeza Gen-Z wa Kenya Wakamatwe

    "Udhalilishaji mtandaoni unafanywa na hao watu wa nje tunasema, lakini zinasambazwa na kwenye mitandao ya Kitanzania, tuko wapi? Kwa nini tunaruhusu hii? Ni udhalilishaji na unaweza kuona kwamba ni udhalilishaji kwa sababu Mama, yaani Rais wetu ni mwanamke," alieleza Mbunge Esther Matiko...
  19. PreGE2025 Matiko : Wakati Mbowe yuko ndani hatukuona matusi kwa Rais, haya ya sasa kuna jambo

    My Take 1.Huu ni ujumbe Kwa vibaraka. 2.Ujumbe Kwa mabwana zao 3.Ujumbe Kwa wale Qanaolazimisha Kibaraka Atolewe Jela licha ya Kutoa Kauli za Uasi. 4.Ujumbe Kwa kina Gwajima & Wanaharaki wengine . Rais apunguze uungwana wanataka kumzoea vibaya. Pia hapa kuna vita za mfumo dume,dini nk so...
  20. PreGE2025 Zungu amfokea Mbunge wa Covid 19 Esther Matiko "Ukinizingua ntakuzingua, behave yourself. Kaa chini, kaa kimya"

    Wakuu, Naibu spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu leo bungeni amemtaka Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko kufuata taratibu za bunge ikiwa ana tatizo lolote na yeye baada ya tofauti kutokea kati yao wakati bunge likiendelea. Pia soma: Pre GE2025 - Uzi Maalum...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…