Klabu ya Simba itacheza leo mchezo wa Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Esperance ya Tunisia, ikiwa ni mechi yake ya tatu katika kundi hilo. Simba iko mkiani mwa msimamo wa kundi ikiwa haina pointi, baada ya kupoteza mechi zake mbili za awali. Je, Simba itaweza leo kufufua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.