Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetaka kuachiwa huru au kufikishwa mahakamani kwa Mwenyekiti wa chama hicho, Wilaya ya Kibamba, Ernest Mgawe ambaye kimedai anashikiliwa na Jeshi la Polisi nchini.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari leo, chama hicho kimeeleza kuwa awali...