erick shigongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Shigongo kupeleka Mahakamani sakata la "unyonyaji" wa Internet katika Bando la Mitandao ya Simu

    Baada ya Mfanyabiashara Maarufu 'Niffer' kuchapisha video mtandaoni kuhusu sakata la unyonyaji wa vifurushi vya internet bundle akilalamika kununua takribani GB 50 na kuisha ndani ya muda mfupi, Mbunge wa Jimbo la Buchosa Eric Shigongo amelivalia njuga sakata hilo akirejea kuwasilisha suala hilo...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Shigongo: Hatuwezi kuwa Taifa ambalo mtu ambaye anaisema serikali anaonekana shujaa

    "Hatuwezi kuwa taifa la watu ambao mtu anayesema serikali vibaya anaonekana shujaa, vijana ni sikilizeni nyie ni Asilimia 75 ya watu wote katika nchi hii, nendeni kwenye mitandao mkatetee ukweli mazuri yaliyofanywa na serikali yetu," Eric Shigongo mgombea Ubunge Jimbo la Buchosa akizungumza...
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shigongo atinga Kata za Kome kwa Baiskeli

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, akiwa ameambatana na Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu, walipanda baiskeli za wajumbe baada ya kutoka Kata ya Lugata iliyoko Kisiwa cha Kome, walipokuwa wamekwenda kukutana na viongozi wa...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Erick Shigongo aamini kuteuliwa kugombea Ubunge wa Buchosa Kupitia CCM 2025

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Erick Shigongo, amesema ana matumaini kuwa jina lake litateuliwa kugombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Akizungumza na wanahabari wakati wa maziko ya Hayati Job Ndugai wilayani Kongwa, mkoani Dodoma, Shigongo amesema...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Erick Shigongo Afunga Koment kwenye Instagram yake

    Huyu mbunge Buchosa baada ya kuona ma post yake ya kijingajinga yanajibiwa huko Instagram kaamua kufunga kabisa na koment. Watu wa Buchosa inabidi mumfundishe adabu huyu aliyewazarau kwa kusema eti kuwatimiza ahadi ya kuwaletea tshirt
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wanachama CCM Lugata Waandamana Kulaani Viongozi wa Kata Kuzuia msaada wa Mbunge wao Erick Shigongo kujenga Ofisi Mpya

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM kata ya Lugata wilayani Sengerema mkoa mwanza wameandamana kupiga hatua za viongozi wa chama hicho ngazi ya kata kuzuia ujenzi wa ofisi ya chama hicho ambayo kwa sasa imechakaa na haiwezi kutumika Hii ni siku ni moja baada ya mbunge wa Mbunge wa Buchosa...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shigongo, atimiza ahadi yake ya kufunga taa za barabarani katika kata 6 jimbo kwake Buchosa

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametimiza ahadi yake ya kufunga taa za barabarani, hatua itakayowasaidia wananchi kuendesha shughuli za kiuchumi na kibiashara hata nyakati za usiku. Ufungaji wa taa hizo kwa sasa unaendelea katika kata za Lugata, Bulyaheke, Katwe, Bangwe, Kafunzo na Nyehunge...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shigongo awataka wananchi wa jimbo lake wasimchague kama hatowaletea Grader

    Yani bado wabunge wanatuchukulia poa kiasi hiki? === Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, amewaeleza wananchi wa kata ya Illigamba kuwa tayari ameagiza vifaa vyake binafsi kwa ajili ya kutengeneza barabara katika maeneo mbalimbali ya jimbo hilo. Akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika...
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shigongo: Tupo tayari kupambana na yeyote atakayejaribu kupotosha maendeleo ya Buchosa

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema hawatamvumilia mtu yeyote ambaye anapotosha kuhusu maendeleo yaliyopatikana chini ya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Shigongo ameyasema hayo mbele ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Ally Kawaida...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Geita: Erick Shigongo atoa msaada wa vifaa vya michezo

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametoa msaada wa vitendea kazi vya michezo kwa wanamichezo wa Jimbo la Buchosa. Hafla hiyo ilifanyika katika kata ya Bupandwa, ambapo Shigongo alikabidhi mipira kwa ajili ya wanamichezo wa kata hiyo. Shigongo alikuwapo kupitia diwani wa kata ya Bupandwa...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Buchosa Erick Shigongo: Watanzania mna Rais bora. Shida tunasifiaga watu wakishakufa

    Wakuu, CCM muwe mnachagua watu wa kusemea mambo yenu. Watu wa imani wakisema huu ni uchuro kwa Rais, mtakataa. Yaani mnasifia hadi mnaboa. ================================== Mbunge wa Jimbo la Buchosa Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Eric Shigongo, jana katika mkutano wake na Wana habari...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shigongo: Tuna Bunge imara linalosimamia serikali

    Swali la John Marwa: Wabunge mmefanya kwa nafasi gani kuiwajibisha serikali ikiwa mpo wa chama kimoja bila upinzani Eric Shigongo: "Mimi nimeenda bungeni nikijua kazi zangu ni tatu ya kwanza kutunga sheria ya pili kuisimamia serikali na ya tatu ni kuishauri serikali mi naona kazi inafanyika na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…