energy drink zinaharibu watoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Salma Kikwete: 'Energy drink' zinaharibu watoto, tutafute mbadala

    Mbunge wa Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, Salma Kikwete ameishauri Serikali kutafuta mbadala wa vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks), baada ya kuonekana vinywaji hivyo vinavyotumiwa na vijana wengi nchini vinaharibu vijana hao ambao ni nguvu kazi ya Taifa. Soma > Serikali yapunguza kodi...
Back
Top Bottom