Eneo linauzwa Bunju A
Bagamoyo road.
Eneo linatazama barabara kuu ya Lami.
Wamiliki WA eneo wapo watatu.
Kila mmoja na eneo lake lakini lipo sehemu moja.
Mmiliki mmoja anauza milion 300
Mmiliki wa pili anauza milion 300
Wote Hawa wanapunguza Bei kama mkikubaliana.
Mmiliki wa tatu anauza...
Kiwanja kizuri Sana kiko kwenye makazi yaliyopangwa yakapangika, very good neighbourhood.
Sifa za kiwanja.
Marefu ni meta 35
Mapana ni meta 35.
Unaweza ukakiita nuhu hela.
Kiko Boko Basihaya, panafikika kirahisi kwa usafiri wa aina yoyote.
Bei 50 mil only
Mawasiliano:-
0717454455
0767454455
Eneo linaukubwa wa 33,260sqm. Eneo lina hati ya mradi wa shule/taasisi. Kuna majengo ya madarasa ma4 na ofisi 4 na nyumba ya vyumba vitatu
Eneo lipo mtaa wa Pinda, Dodoma mjini.
Bei ni Tsh. Milioni 250
Call/WhatsApp +255758844717
Wadau eneo linauzwa lipo makongo mwisho njia kwenda kanisa katoliki lina ukubwa sqm 2231 lina hati ya wizara.halina shida yoyote ni tambalale na bei ya kutupa linuzwa kwa ajili ya shida tu bei ni 300m
Karibu
Habari wakuu.
Eneo Linauzwa Goba Half London.
Umbali Hadi barabara kuu ya Lami ni Mita 600
Sqm 3000
Hati Safi (Title Deed)
Bei milion 300
Piga simu 0754693556
Eneo zuri sana kwa uwekezaji wa Viwanda, Yard na Magodown linauzwa Vingunguti Machinjioni,
Ukubwa wa eneo ni 2 Acres
Bei 2.5bill tsh
Document: Available
Contact us and Schedule a visit!!
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
Eneo hili lipo njia ya koba kutokea Mbezi Magufuli ni karibu Zaidi pia kutokea mjini Kwa njia ya goba ni Sawa pia.
Mita 100 kutoka usawa wa eneo hadi barabara kuu ya Goba.
Location kituo cha daladala kinaitwa Kwa Robert.
Eneo Lina nyumba ambayo anaishi muuzaji wa eneo.
Ukubwa wa eneo ni sqm...
Habari wakuu.
Eneo linauzwa Luguruni
Eneo linaangalia barabara kuu ya Morogoro Road.
Sqm 2789
Title Deed
Milion 550
Uwekezaji wowote unafaa sababu eneo linaangalia barabarani (MAIN ROAD)
📱0754693556
Habari wakuu.
Eneo la sqm 5000 linauzwa kigamboni opposite chekechea.
Eneo linaangalia barabara kuu ya kwenda kongowe ukitokea kigamboni darajani unaenda moja Kwa moja Hadi chekechea unakutana na eneo lako.
Eneo linafaa Kwa uwekezaji wowote ule.
Yard
Kituo cha mafuta
Hotel
Apartment na...
Eneo la Ekari 57 linagusa Morogoro road linauzwa Chamakweza, Chalinze
Location Eneo lipo upande wa kulia ukitokea Dar es Salaam
Upana wa mbele Ekari 2 zimegusa lami zinazobaki nyuma
-Eneo ni tambarare halina Mlima
Eneo linafaa kwa ujenzi wa Kiwanda, Godown, Yard na Bandari Kavu n.k
-Plot...
apartments
chalinze
eneo la biashara
eneo la viwabda
eneolinauzwa
hotel for sale
house for sale
kununua nyumba
morogoro road
nunua shamba
nunua viwanja
plot for sale
tanzania realestate
2240 SQM
Title deed: 99 Years
Alongside Ali Hassan Mwinyi Road
Topographical map available for serious buyers
Property is unique for Apartments, Business complex, Hotel.
Asking price: $2 Million (negotiable)
Call/WhatsApp 0788893364
Eneo lina ukubwa wa 1200 Sq Meter
Huduma zote muhimu zipo, ni jirani kabisa na stand ya SGR DODOMA.
Eneo ni la kwangu binafsi, sio dalali.
15,000,000 (Milion kumi na tano), maongezi yapo.
0719928661
Eneo lenye Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Tabata Bima, Dar es salaam.
Mahali: Mtaa wa Mbiu.
Sifa za Nyumba:
*Iko mita chache kutoka barabara ya kuelekea Tabata kimanga.
*Ina Vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja ni master, sebule na jiko.
*Ina nafasi kubwa nje.
*Ina fremu mbili nje...
Eneo linauzwa, Lina nyumba 3 ndani yake.
Mahali: Tegeta Namanga, Mtaa wa Kibera.
Eneo Liko mita chache kutoka barabara ya Bagamoyo.
Ukubwa: SQM 1204.
Nyaraka: Ina Hatimiliki.
Bei: Milioni 300. Mazungumzo yanaruhusiwa.
Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.
Mawasiliano:
0784 829565
0767...
Eneo linauzwa Makumbusho.
Mahali: Mtaa wa Samoyaz, Nyuma ya Mwanga Tower.
Sifa za Eneo:
Liko mita chache kutoka barabara ya Bagamoyo (New bagamoyo road).
Liko barabara ya kuelekea kituo cha Daladala Makumbusho.
Linafaa kwa matumizi yote, biashara au makazi.
Ukubwa wa Eneo: SQM 988.
Nyaraka...
ENEO ZURI, TAMBARARE LINAUZWA
UKUBWA: 7,021 square meters, sawa na 1.735 acres).
MAHALI: Kata ya Manchali, Wilaya ya Chamwino, Dodoma. Eneo lipo kando ya barabara kuu ya Dodoma - DSM. Ni umbali wa 20km kutoka Chamwino Ikulu, 38km kutoka Kituo Kikuu cha Mabasi Dodoma.
DIRECTION LINK...
Apartments for Sale
Nzuri sana ya kisasa, iko Mikocheni Karibu na palm village, barabarani kabisa.
Fully furnished, 3 master bedroom, kuna gym na swimming pool.
Inauzwa $220,000 ( Dola laki mbili na ishirini)
Ina mteja analipa kodi $1500 per month, Kama mtu anataka kuhamia mteja atapewa notice...
apartments
bahari
beach
beach plot
chang'ombe
dar
dar es salaam
duce
eneoeneolinauzwa
for sale
houses
karibu
kinauzwa
kinondoni
kiwanja
kiwanja kinauzwa
linauzwa
masaki
mbagala
mlandizi
morocco
msasani
new
plot
plot for sale
plots
sale
temeke
with
Eneo linauzwa lipo kisemvule lenye ukubwa wa square meter 1200,
Eneo lipo na msingi wa nyumba ya sitting room, kitchen, vyumba viwili kimoja ni master room pamoja na public toilet
Eneo lipo karibu na barabara na huduma za kijamii zinapatikana
💲Bei ni million 10.5
📞Mawasiliano
Calls and sms...