Mimi ni Mkazi wa Pugu,Ninapokuwa njiani kuelekea kazini/Mjini nilikuwa nikishuhudia kuvunjwa kwa sehemu ya uzio wa shule na ujenzi wa frame za maduka....
Hiyo shule ni ya elimu ya Msingi Pugu Kajiungeni.
1. Je,hili suala ni linaruhusiwa...
2. Kama ni sawa ,mfumo wa uksanyaji pango na faida yake...