Nininini! Hao vinyang'unya!
Weeh! Wametepeta tepetepeee! Hahahaa! Walidhani wanagonga mlango wa makuti, kumbe walishindilia chuma kilichojaa ndindindii! Si mchezo bwana! Tumeshasema: Boss ni mmoja tu, wala si wa kupokezana vijikaratasi! Wale wa ndumilakuwili waache kupuliza baridi na moto...