emmanuel mwakasaka

Emmanuel Adamson Mwakasaka (born December 12, 1960), is a Tanzanian politician who presently serves as a Chama Cha Mapinduzi's Member of Parliament for Tabora Urban Constituency since November 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Emmanuel Mwakasaka kuwania tena ubunge jimbo la Tabora Mjini

    Mbunge wa Jimbo la Tabora Mjini, Emmanuel Mwakasaka amejitokeza leo kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya kuwania Ubunge wa jimbo hilo kwa mara nyingine tena. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Mwakasaka ni mbunge wa Jimbo la...
  2. Waufukweni

    Emmanuel Mwakasaka: Wanaenda mpaka Bunge la Ulaya, tusiwasikilize na Mama anendelee kukaa kimya

    Mbunge wa Tabora Mjini kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) Emmanuel Adamson Mwakasaka, akichangia bajeti la wizara ya maliasili na utali amegusia pia kuhusu wapinzani wao kisiasa, ambao ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kuhusu kukimbilia Bunge la Ulaya.
Back
Top Bottom