emmanuel kisendi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    GE2025 Mhandisi Emmanuel Kisendi alitaka Jimbo la Magu kupitia CCM

    Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae pia ni Mtaalamu wa Maji na Madini Eng ,Emmanuel Kisendi amechukua fomu kuwania nafasi ya ubunge jimbo la Magu Mkoani Mwanza. Eng Kisendi anasema huu ni wakati sahihi kabisa kwake kuwatumikia wanaMagu akiwa kama Mbunge wa jimbo hilo kwa kuwaletea maendeleo.
Back
Top Bottom