elisante ngoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Elisante Ngoma achukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Same Magharibi kupitia ACT Wazalendo

    Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Elisante Ngoma amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Same Magharibi. Elisante ambaye alijiunga na Chama hicho akitokea Chama cha NCCR Mageuzi alikokuwa Katibu Mwenezi wa Taifa ni mjukuu wa mgunduzi wa madini ya Tanzanite Ndugu Jumanne...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Aliyekuwa Mwenezi wa NCCR Mageuzi, Elisante Ngoma ajiunga rasmi na ACT Wazalendo

    Katibu Mwenezi wa NCCR Mageuzi, Elisante Ngoma ametangaza kuhamia Chama cha ACT- Wazalendo huku akitaja sababu ni chama chake kupoteza dira katika kupambana na chama tawala, Chama cha Mapinduzi (CCM). Ngoma amekuwa miongoni mwa vigogo waliohamia kwenye chama hicho hivi karibuni, akitanguliwa na...
Back
Top Bottom