eid ya kuchinja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    Kuna jamaa ni mtu wangu wa karibu na imani ya Kiisilamu aliwahi kuniambia kuchinja kwa EID kutoa sadaka nyingi zimekuwa kama za wahindi utoboi

    Dunia ya sasa sio ya zamani leo uwezi kwenda kujiamini sababu watu wamegeuka ulimwengu mwengine.Hili swala la uchinjaji kugawa sadaka sio wote wenye kutoa kwa moyo wengi wapo kuchukua riziki zenu kubaki omba omba mpaka kufa kwenu. Sitaki kusema mambo ya waisilamu tu hata wakristo nao wapo hivo...
  2. Dkt. Gwajima D

    Nawatakia Eid Al Adh'ha njema

    Wapendwa wote salaam, Mwenyezi Mungu awe nasi sote kwenye Maadhimisho haya ya EID AL ADH'HA, 2024. Naomba tukumbuke kuwalinda watoto wetu wawe salama pamoja na makundi yote yenye mahitaji maalum wakati wote wa kufurahia Sikukuu hii kubwa, In Sha Allah, Amina, Heri ya Sikukuu kwetu sote.... 🌹
Back
Top Bottom