Kufungua duka la vipodozi ni fursa nzuri ya biashara, hasa kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya bidhaa za urembo. Hata hivyo, kabla ya kuanza kuuza, unatakiwa kuwa na leseni ya biashara. Leseni hii ndiyo itakayo kuthibitishia kisheria kuwa unaruhusiwa kufanya biashara na pia inaleta uaminifu...