Watu zaidi ya 1,000 wamefariki kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kulingana na takwimu rasmi.
Hali hii inatokea huku wahudumu wa afya wakipambana vikali kudhibiti mlipuko huo katikati ya machafuko ya kundi la wanamgambo, mashambulizi dhidi ya...