dougras massaburi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    GE2025 Mgombea ubunge Massaburi aanza kazi kabla hajapata ubunge, apiga marufuku Watendaji wa mitaa kutoza pesa bodaboda Kivule

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kivule, Dougras Massaburi ameanza kazi kabla hajapata Ubunge akipiga marufuku Watendaji wa Mitaa kutoza pesa Bodaboda. Massaburi amesema Serikali imeweka mazingira wezeshi kwa vijana hivyo haina haja kuwatoza pesa Bodaboda.
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Naibu Meya wa Ilala, Dougras Massaburi, afafanua kuhusu tetesi za kugombea Kivule na kutoa Wito kwa Wana-CCM

    Naibu Meya wa Jiji la Ilala Dougras Didas Massaburi ambaye anahusishwa na kugombea Jimbo jipya la Kivule endapo litagawanywa Jimbo la Ukonga, amesema na yeye ameona taarifa hizo mitandaoni, lakini kwa sasa nguvu amezielekeza kwenye uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Soma...
Back
Top Bottom