dorothy gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kanusho la Dorothy Gwajima kuhusu kuzushiwa kusema Polepole alikuwa rafiki wa kweli linaongea mengi sana

    Kwanza kabisa sikubaliani na watu wanaosambaza uzushi wa aina yoyote ikiwemo kuwalisha watu maneno kwa njia yoyote ile, ila pia nadhani Gwajima alitakiwa kukanusha uzushi kwa maneno mafupi sana kuwa, Sijawahi kutoa kauli hiyo na pia si sahihi kusambaza taarifa za uzushi iwapo kulikuwa na ulazima...
  2. Mama Dorothy Gwajima suala la ushoga hulioni? Mbona linazidi kushika kasi? Umenyamazishwa?

    Kwako Mama Dorothy Gwajima. Natumai unaendelea vizuri na majukumu yako. Hivi Mama Gwajima, suala la ushoga hapa nchini Tanzania unaliona linavyozidi kasi au hulioni? Nakuelekezea wewe hii mada nikiamini kabisa ni eneo unaloliweza vilivyo tu, ila siku hizi umelikalia kimya, kama halikuhusu...
  3. Dkt. Gwajima: Katika kipindi hiki cha Siku 100 za Samia, tumepokea bilioni 10.5 za mikopo nafuu kwa wafanyabiashara wadogo

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ndani ya siku 100 tayari imetoa shilingi bilioni 10.5 kwa ajili ya kuwawezesha wafanyabiashara ndogondogo zaidi ya 100,000 waliorasimishwa. Akizungumza na waandishi wa habari...
  4. Nini kimemkuta Dkt. Dorothy Gwajima hajawa mbunge?

    Nasikia hakugombea ubunge Jimbo lolote. Kwenye uteuzi wa wabunge wa viti maalum (KE) pia hayumo.. Alikosea wapi huyu mama mchapakazi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum?
  5. Dorothy Gwajima, Paul Makonda na Jumaa Aweso majina yao ni miongoni mwa wanaoweza kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu

    Hapa bado kwa walitajwa hapa! Binafsi namtazama zaidi Dotto Biteko na bila shaka kuteuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu ilikuwa ni kupata uzoefu zaidi! Ila tusubiri tuone ila kwa Makonda kazi itakuwepo, Aweso anafanya kazi nzuri ila bado kushika nyadhifa kubwa kama hii ============== Majina ya vigogo...
  6. Dorothy Gwajima: Nimewasiliana na mke wa Justice Rugaibula, ambaye alifanyiwa fujo ya kufukuzwa kwake, nimemwambia afungue kesi ya udhalilishaji

    Kuna vipande vingi vya video kuhusu sakata hili ambapo, vingine vinaonesha mama mjane akiwa anabebwa kama mzigo ambapo, kimsingi huu ni UDHALILISHAJI. Nimewasiliana na mama huyu na kumwambia pia ashtaki kuhusu huu udhalilishaji ili, mwanasheria wake aone hatua stahiki za kuchukua kisheria. NASI...
  7. Wosia wa Dorothy Gwajima Kwa mabinti wa kitanzania

    Kupitia mtandao wa kijamii wa facebook dorothy Gwajima amechapisha akileza kuwa wewe binti ambaye, fikra zako zinakutuma uwe mvivu mvivu kusoma au kujishughulisha na masuala ya maendeleo na kuwekeza kwenye harakati za yuko ambaye, Mungu alishamwandaa kwa ajili ya maisha yangu mimi, atanipa kila...
  8. Mama Dorothy Gwajima: Tunu ya Utumishi wa Umma na Mlezi wa Jamii

    Ni saa mbili asubuhi jijini Dodoma. Simu ya mezani ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, inaita mara mbili mfululizo. Ni taarifa kutoka kwa wananchi zinaoeleza kuhusu mzozo wa kifamilia uliosababisha taharuki katika moja ya mtaa ya jijini...
  9. Naomba kuchangia hoja aliyoleta Mheshima Dkt. Dorothy Gwajima , kuhusu kuchangia malezi ya watoto hasa mzazi wa kiume

    Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu . Pili ,kwa Mheshimiwa huyu kuwa karibu sana na jamii , napenda aendelee kuwa katika nafasi hii kwa vile anajua wajibu . Naomba kutambua mchango wa wadau wote humu ndani kwa michango yao , kwa pamoja katika kuchangia hoja ...
  10. N

    Sijaona waziri anaeshirikiana na jamii kwa moyo wa kujitolea bila makamera kumzidi Dkt Dorothy Gwajima, Her Responsibility exceeds her power

    EDIT: Sio waziri tu, ni viongozi wakiwemo mawaziri, maspika, wakuu wa mikoa, wabunge, n.k. Kujua matatizo ya wananchi kwa ukaribu ni msingi wa utatuzi wa kweli. Ni muhimu kwa viongozi kuwa karibu na waathirika moja kwa moja badala ya kutegemea tu ripoti kutoka kwa viongozi wa chini. Mara...
  11. Dr Dorothy Gwajima kachukua Fomu Jimbo gani?

    Mheshimiwa Dr Dorothy Gwajima amechukua Fomu Jimbo gani? NB: Tunaandika ripoti ya waliochukua Fomu ila hatumuoni Jimbo lolote
  12. S

    DOKEZO Waziri Dkt. Dorothy Gwajima mfuatilie Mwl. Mkuu S/M Kimandafu wilayani Meru, anafanya ukatili kwa wanafunzi

    Mh. Waziri hongera kwa jinsi unavyomsaidia Rais wetu kwa uchapakazi wako uliotukuka. Watanzania tumekushuhudia unavyofanya kazi usiku na mchana kusaidia watanzania dhidi ya madhila ya ukatili wa aina mbalimbali. Mwezi uliopita niliandika kupitia jukwaa hili vitendo vya ovyo vilivyokuwa...
  13. Wana-JA niokoeni nitoke mnipe connection.

    Kwa heshima na taadhima kwenu Wana-JA Mungu ashukuriwe na mtaji wa pumzi ninapumua na afya njema ila swala la kiajira nimekwama nishapita kwenye jukwaa la ajira ila nimeona nije na hapa maana jukwaa hili lina nguvu sana kama mdogo wenu, kijana mwenzenu na kijana wenu nipo hapa kama tittle...
  14. DOKEZO Waziri Dkt. Gwajima D, hii ni moja ya namna zinazochochea ukatili wa kingono dhidi ya watoto

    Habari wana JF Leo ni siku nyingine tena, natumaini mnaendelea vizuri kwa wale wenye changamoto basi Muumba awafanyie wepesi. Leo sina mambo mengi sana zaidi ya kuyatafakari maadili yetu yanayozidi kuporomoka kwa kasi. Na nitoe pongezi kwa Waziri Dr. Dorothi Gwajima kwa kuchukua hatua za awali...
  15. Klabu ya Uzalendo Wilaya ya Kibaha ilipata fursa ya kukutana na kufanya mazungumzo Ndugu Salim Kikeke

    TAREHE 2 MEI, 2025 | KIBAHA Kwa heshima kubwa, Klabu ya Uzalendo Wilaya ya Kibaha ilipata fursa adhimu ya kukutana na kufanya mazungumzo na Mtangazaji Kinara Mstaafu wa BBC na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Crown Media, Ndugu Salim Kikeke. Katika mazungumzo hayo ya kihistoria, Mwenyekiti wa Klabu...
  16. Mchakato wa uanzishaji wa Taasisi ya Uzalendo na Malezi Tanzania (TUMT)

    TAARIFA RASMI | MCHAKATO WA KUANZISHA TAASISI YA KITAIFA YA UZALENDO NA MALEZI TANZANIA (TUMT) Kwa mujibu wa haja ya dharura ya taifa katika kujenga msingi imara wa maadili, uzalendo wa kweli, na malezi chanya ya kizazi kijacho, Klabu ya Uzalendo Wilaya ya Kibaha imeanza rasmi mchakato wa...
  17. “Dkt. Dorothy Gwajima: Wanaowatumia Watoto kwenye matangazo ya kibiashara mtandaoni kukiona

    Wanaopakia picha za watoto mtandaoni na kuwasababishia unyanyasaji kukiona "Kuna watu sasa hivi mnaona kwamba wanafanyisha watoto matangazo ya kibiashara. Anampiga picha, anambandika hapo tangazo la kibiashara. Sasa vyombo vyetu vya kiuchunguzi tukisha pokea shitaka kama hilo linaweza...
  18. Wazazi tumsaidie kazi Mheshimiwa Dorothy Gwajima

    Ila hii nchi inamambo mengi sana aisee, kila siku tunaharibu kizazi chetu tena kwa mikono yetu. Vijana wengi wanafanya mambo ya ajabu na tunatazama tu bila kusemea wala kukemea huku tukisubiri yatokee madhara tuanze kulaumu vyombo vya usalama na mamlaka zingine. Ijumaa nilitoka kazini mapema...
  19. KERO Barabara ya kwenda Liwale haifaiiii

    Kero jamani tunaomba serikali iangalie barabara ya kwenda liwale ni mbovu hatari, tunaomba liwale iunganishwe kwa lami kutoka nachingwea to liwale iwe lami Barabara haifai kutoka liwale to songea via tunduru tunaomba lami kutoka liwale to dar es salaam lami tunaomba kutoka liwale to morogoro via...
  20. Serikali please huyu mama atendewe haki, Dorothy Gwajima na waziri wa katiba na sheria ,mna kazi ya kufanya hapa

    Kuna tatizo kubwa hapa, haiwezekani ajali tu ifanye huyu mama anyanyasike na watoto wake. ATENDEWE HAKI tafadhali. Haya ndo matatizo halisi mnayopaswa kuyasikiliza na kuyatolea ufumbuzi wa HAKI kabisa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…