dkt. netumbo nandi-ndaitwah

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Namibia Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, amerejea nchini mwake baada ya kumaliza ziara yake ya Kitaifa nchini Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, amerejea nchini mwake baada ya kumaliza ziara yake ya Kitaifa nchini Tanzania. Rais Netumbo na ujumbe wake wameondoka nchini Juni 22, 2026 kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, huku...
  2. JamiiForums Tanzania Rais wa Namibia anatafuta nini Tanzania?

    Nchi ambayo inajadiliwa kwa UBAYA Dunia nzima unaenda kufanya nini? Kwanini unajiharibia kirahisi namna hii? Hakuna utakacho pata kila mahali pameuzwa. Soma pia Rais wa Namibia kufanya ziara ya kitaifa nchini 19 - 22 Juni, 2026
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Tanzania na Namibia zimekubaliana kuongeza juhudi za kukuza ushirikiano wa kiuchumi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Namibia zimekubaliana kuongeza juhudi za kukuza ushirikiano wa kiuchumi kwa kutafuta njia madhubuti za kukuza biashara baina yao, ikiwa ni pamoja na kuwezesha uwepo wa miradi mikubwa ya uwekezaji kutoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…