Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema huduma za Water Taxi zimeanza rasmi visiwani Zanzibar, ikiwa ni hatua ya kuboresha usafiri wa baharini, kuvutia watalii na kuongeza ajira kwa wananchi.
Akizungumza alipowasili katika Bustani ya...