Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango
Kutokea hapa “S/M Simbawanga,” nawasalimu watu wa huko Dar es Salaam kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nikiwa natarajia kuwa kazi inaendelea! Huku “Simbawanga” tuko wazima.
Leo, nimeona kwenye TV Rais Samia akiapisha wakuu wapya wa mikoa na viongozi...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Mjane wa Hayati Dkt. John Magufuli Mama Janeth Magufuli wakati alipomtembelea Nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam leo Mei 08,2021. Katikati ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango.
Wanabodi...
Tunaelewa baada ya Mh Philip Mpango kupitiwa na lile tatizo la Upumuaji na hatimaye akavuka salama baada ya kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Dodoma wakati akiwa bado Waziri wa Fedha na Mipango.
Ni hakika alishukuru kwa namna wafanyakazi wa Benjamin Mkapa...