Wavuta shisha habari iwafikie
===========
Aprili 1, 2026 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge, amesema kuwa matumizi ya tumbaku yanaendelea kuwa chanzo kikubwa cha magonjwa ya moyo, yakisababisha vifo vya takribani watu milioni 20 duniani...