dkt festo dugange

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dkt Festo Dugange: Serikali itajenga Bwalo la Kisasa Shule ya Sekondari Longido

    Kilio cha muda mrefu cha Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Longido cha kutokuwa na bwalo la kisasa kimepata ufumbuzi baada ya Serikali kuahidi kutoa zaidi ya Shilingi Milioni 700 kwa ajili ya ujenzi wa bwalo jipya litakalokidhi mahitaji ya wanafunzi zaidi ya 3,000 wa shule hiyo. Ahadi hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Dugange: Wananchi endeleeni kuiamini CCM

    Mgombea wa ubunge wa Jimbo la Wanging’ombe, mkoani Njombe, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Festo Dugange, amezindua rasmi kampeni za chama hicho na kuwataka wananchi kushiriki kwa wingi kupiga kura. Akizungumza katika uzinduzi huo, Dk. Dugange aliwahimiza wananchi kuendelea kuiamini CCM...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiswaga amwambia Dr.Dugange wazi "Nitagombea na nimejipanga

    Katika harambee hiyo Enokc Kiswaga ambaye ni Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na mzaliwa wa kata hiyo ya Imalinyi amemwambia Mbunge wa Jimbo hilo Festo Dugange kuwa anagombea ubunge wa Jimbo hilo katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. - Kiswaga amesema hasubiri kuoteshwa na wala hajifichi...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Dkt Festo Dugange anateulika

    Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa wilaya ya Wanging'ombe waliojitokeza kwenye mkutano ambao umefanyika leo Machi 22,2025 katika viwanja vya shule ya sekondari Igwachanya. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…