dkt. doto biteko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Dkt. Doto Biteko: Wananchi msikubali kugawanyika Uchaguzi ujao

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wa Tabora kutogawanyika kwa sababu yoyote ile kisa uchaguzi mkuu mwa mwaka 2025 huku akiwahimiza kumuunga mkono Rais Samia kutokana na juhudi zake za kuwaletea wananchi maendeleo. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
  2. Dkt. Doto Biteko amwakilisha Rais Samia Uwekwaji Wakfu Askofu mteule wa jimbo katoliki Iringa

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Askofu wa Mafinga, Mhashamu Vincent Mwagala wakati alipowasili katika Ibada ya kumsimika na kumuweka wakfu Askofu wa Jimbo la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali iliyofanyika katika Viwanja vya Kichangani, Mjini Iringa...
  3. Dkt. Doto Biteko: Bwawa la Mwalimu Nyerere lina uwezo wa kuilisha Nchi hii umeme peke yake

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Mashine ya tisa ya mtambo wa kuzalisha umeme katika Bwawa la Julius Nyerere Machi 22, 2025 imekabidhiwa na kuunganishwa kwenye Grid ya Taifa. Amesisitiza kuwa kutokana na ongezeko hilo la megawati za umeme Bwawa la Kuzalisha...
  4. Dkt. Doto Biteko awapongeza Benki ya Exim Kuzindua Tawi Wilayani Kahama

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko (wa tatu kutoka kulia), akiwa katika uzinduzi Rasmi wa tawi la benki ya Exim Tanzania wilayani Kahama mkoani Shinyanga. Kulia kwake ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Exim Bank, Bw. Jaffari Matundu wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi...
  5. U

    Naibu Waziri Mkuu Mhe. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa mamaono ya kujenga Kanisa

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa maono ya kujenga Kanisa Kuu la Jimbo Katoliki la Rulenge - Ngara mkoani Kagera. “ Nakupongeza Baba Askofu kwa kuwa na maono makubwa ya kujenga...
  6. Dkt. Doto Biteko: Mpaka sasa vijiji vyote vimefikiwa na huduma ya umeme

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Tanzania ipo katika hatua kadhaa mbele kwenye masuala ya nishati ya umeme kwani mpaka sasa vijiji vyote vimefikiwa na huduma ya umeme. Dkt. Biteko amesema hatua hiyo inawawezesha wananchi kuwa na uhakika wa nishati ya umeme na...
  7. Dkt. Biteko awawashia moto TANESCO, adai "Mmezoea matatizo, hatutakubali!"

    Wakuu Kash Kash karibu na uchaguzi == Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekemea vikali utendaji wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) "Mmeanza kulala, mmezoea kazi, mmezoea matatizo. Mwaka mzima matatizo, tunarudi nyuma. Siwezi kukubali hiyo biashara ya kufika mahali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…