diva the bawse

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Diva amuwashia moto mwanadada model MALU

    MALU wanaokupa Matangazo Wanakudhalilisha asilimia 100. Tangazo Lako Jipya nina hakika Basata Wameliona na watalifanyia Kazi .. Kuna Ile sehemu anapanda ngazi kutoka katika swimming POOL hapana jaman hapanaaaaa hadi huruma!, Mama @gwajimad haya maadili yanavunjwa sana imetosha this is too Much...
  2. JamiiForums Tanzania Diva the Bawse vs Wasafi Media; Mnyukano, watoleana Siri

    Kinachoendelea kupata umbeya, pia nikujifunza mambo mbalimbali. Kwanza chanzo cha MNYUKANO, Diva alianza kumuongelea vibaya mitandaoni, marehemu Dida aliye kuwa mtangazaji mwenzake, hapo wasafi. Watu hawakukubaliana nae, kwanini unamuongelea marehemu sasa, kwanini usingesema kipindi kile, tena...
  3. JamiiForums Tanzania Gerald Hando: Diva ni mtangazaji haramu, kakengeuka, katuweka kwenye wakati mgumu

    Kwenye maisha haya usisubiri raha kuwajua watu wako wanaokuzunguka bali subiri shida zikupate ndio utawajua watu wanaokuzunguka! Bado nashangaa sana pamoja na madhaifu ya huyu mtangazaji DIva kama walivyo binadamu wengi ni wazi hata kama mtu hampendi au unamchukia lakini linapomkuta tatizo ni...
  4. JamiiForums Tanzania Polisi: Tunawashikilia Niffer na Diva kwa mahojiano na hatua nyingine za Kisheria

    Tarehe 16 Novemba 2024 eneo la Kariakoo Dar es salaam kulitokea tukio la kuporomoka kwa jengo la biashara. Wakai jitihada mbalimbali zikifanywa na Serikali na sekta binafsi kuhusiana na jinsi ya kuwaokoa watu katika eneo hilo , zilipatikana taarifa za watu wasio na mamlaka yoyote ya kisheria ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…