WanaJF,
Natumaini tunaendelea vizuri wikendi hii.
Leo nimekuja na ushauri kwa serikali yetu wakati tunapambana kuelekea kwenye uchumi wa juu kama nchi.
Wakati tunajivunia maendeleo tuliyopata na tunayoendelea kupata kwenye sekta za afya, elimu, usafirishaji etc tunatakiwa tuhakikishe huduma...