I. Utangulizi
Salaam Profesa Kitila Mkumbo na Timu yako. Nimepekua kitabu cha "Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050" kilichozinduliwa Jijini Dodoma, tarehe 15 Julai 2025 (Kiambatanisho A).
Uzinduzi wake unahitimisha utekelezaji wa Dira ya Tanzania 2025 iliyoanza kutekelezwa mwaka 2000.
Baada ya...
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema dira ya maendeleo ya 2050 inalenga kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kujitegemea. Ni safari ngumu na ndefu, lakini inawezekana.
Misaada na mikopo ikitumia vizuri inaweza kuchangia maendeleo ya nchi, lakini haiwezi kuwa msingi wa maendeleo endelevu kwani...
Mwakilishi wa Sekta Binafsi, Rostam Azizi, ametoa wito kwa wadau wa maendeleo ya uchumi kufanya mabadiliko makubwa katika sekta ya kifedha ili kuhakikisha wafanyabiashara wa Kitanzania wanapata mitaji ya kutosha kwa ajili ya kuwekeza na kukuza biashara zao.
Amesema mfumo wa sasa wa benki nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.