dikteta samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JOANNA

    Uongozi wa kidkteta hautasimama

    Watanzania hatujazoea kuona damu za watu wetu, ndugu zetu zinamwaga kiholela;huu sio utamaduni wetu. Pamoja tunakataa utawala wa unyanyasaji ,tunakataa utawala wa mabavu, utawala unaomwaga damu za ndugu zetu bila kujali. Pamoja tunakataa utawala wa watu wasiofuatata katiba na sheria za nchi...
  2. Mashamba Makubwa Nalima

    GE2025 Asante CHADEMA kwa kutupa uchaguzi bora tokea nchi ipate uhuru, asante kwa kumchagua Lissu na Heche. Tunakula matunda leo

    Asante kwa wote walioshiriki kwenye hili. Historia haitowasahau, mlicheza upande uliosahihi. Ule uchaguzi ili mark mwanzo wa siasa mpya na mageuzi makubwa kwa nchi. Huu ni moja ya UZI MFUPI ILA UNAWAFIKIA Nitaendelea
  3. M

    Kutoka kupigiwa debe kushinda tuzo ya Nobel hadi kudhaniwa ni dikteta

    Wanachama na wakereketwa wa chama cha kijani, zile kelele za kumhusisha na tuzo ya Nobel leo mnayo hiyo jeuri? Mpigieni kampeni kwenye tuzo zilizowahi kushikwa na kina Dadaa huko siyo tuzo za watu maalumu
  4. P

    PreGE2025 Rais Samia azidi kutrend kimataifa kutokana na suala la Lissu, afananishwa na kina Museveni na Kagame

    Salaam, Rais Samia anazidi kutrend kimataifa, suala la Lissu limezidi kutrend na kumuweka kwenye spot Rais Samia. Sasa anaanza kufafanishwa na kina Museveni na Kagame. Kwenye hiyo video wanakwambia alisifiwa kweli alipoenda kumtembelea Lissu lakini kinachotokea sasa ni kama mtu mwingine kabisa...
Back
Top Bottom