Sean “Diddy” Combs ameandika barua kwa Jaji Arun Subramanian akimuomba huruma kabla ya hukumu yake kusomwa leo Ijumaa, Oktoba 3, 2025. Msanii huyo alipatikana na hatia mwezi Julai kwa makosa mawili ya kuhusika katika usafirishaji wa watu kwa shughuli za ukahaba.
Katika barua hiyo, Combs...