Kwenye kesi bandia iliyotengenezwa na watawala dhidi ya Lisu, kila mmoja alishangaa kuona wale mawakili wa mchongo wa serika wakikazania kuwa na mashahidi wa kificho. Watu mbalimbali walitoka na hisia tofauti tofauti. Baadhi mpaka walifikia kusema kuwa labda wale waliokuwa viongozi wa CHADEMA na...
Imamu Mkuu wa Msikiti wa Manyema na Mjumbe wa Baraza la Ulamaa BAKWATA Taifa, Sheikh Hamid Masoud Jongo, amesema kuwa dhiki ya maisha haimaliziki kwa kuandamana, kuchoma sheli za watu wala kupora mali za watu. Ameongeza kuwa watoto warudi vijijini wakalime mihogo, kwani Tanzania tuna ardhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.