Dharula/emergency au Ugonjwa mmoja unaweza kufuta savings zako zote kama hujajiandaa
Watu wengi wanapanga bajeti vizuri lakini wanapuuza kitu kimoja muhimu sana: emergencies. Dharula haipigi hodi, hujui ni lini utapata malaria, hujui lini mama nyumbani ataugua, mwanao ataharibu mali za watu...